Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. iPhone
  2. Soga

Jinsi ya kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka kwenye kikundi

Unaweza kutuma ujumbe unaotoweka kwenye WhatsApp kwa kuwasha hali ya ujumbe unaotoweka. Unaweza kuchagua ujumbe utoweke baada ya saa 24, siku 7 au siku 90. Mara baada ya kuwashwa, ujumbe mpya unaotumwa kwenye soga utatoweka baada ya kipindi cha muda ulichochagua. Ujumbe uliotumwa au kupokelewa kabla ya kuwasha hali ya ujumbe unaotoweka hautaathiriwa.

Kuwasha ujumbe unaotoweka

Kwenye soga ya kikundi, washiriki wowote wa kikundi wanaweza kuwasha ujumbe unaotoweka. Hata hivyo, msimamizi wa kikundi anaweza kubadilisha mipangilio ya kikundi ili kuruhusu wasimamizi tu kuwasha hali ya ujumbe unaotoweka. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kubadilisha mipangilio ya msimamizi wa kikundi katika makala haya.

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp.
  2. Gusa jina la kikundi.
  3. Gusa Ujumbe Unaotoweka.
    • Ukiulizwa, gusa Endelea.
  4. Chagua Saa 24, Siku 7, au Siku 90.

Pia unaweza kuwasha hali ya ujumbe unaotoweka wakati unaanzisha soga mpya ya kikundi.

Kuzima ujumbe unaotoweka

Mtu yeyote katika soga ya kikundi anaweza kuzima ujumbe unaotoweka wakati wowote, isipokuwa kama msimamizi wa kikundi amewaachia wasimamizi pekee uwezo huo.

  1. Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp.
  2. Gusa jina la kikundi.
  3. Gusa Ujumbe Unaotoweka.
    • Ukiulizwa, gusa Endelea.
  4. Chagua Zima.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu ujumbe unaotoweka
  • Jinsi ya kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka kwenye kikundi: Android | KaiOS | Web na Desktop
  • Jinsi ya kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka: Android | iPhone | KaiOS | Web na Desktop
  • Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa kikundi: Android | iPhone | KaiOS | Web na Desktop
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti