Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. iPhone
  2. Soga

Jinsi ya kutuma ujumbe wa sauti

Ujumbe wa sauti kwenye WhatsApp hukuruhusu kuwasiliana papo hapo na watu pamoja na vikundi. Unaweza kuutumia kuwasilisha taarifa muhimu na za haraka. Kwa hivyo, ujumbe wote wa sauti hupakuliwa kiotomatiki.

Kutuma ujumbe wa sauti

  1. Fungua soga binafsi au ya kikundi.
  2. Gusa na ushikilie maikrofoni na uanze kuzungumza.
  3. Mara unapomaliza, ondoa kidole chako kwenye maikrofoni. Ujumbe wa sauti utatumwa kiotomatiki.

Wakati unarekodi ujumbe wa sauti, unaweza kutelezesha kidole ili kughairi.

Kurekodi ujumbe mrefu wa sauti

  1. Fungua soga binafsi au ya kikundi.
  2. Gusa na ushikilie maikrofoni halafu uanze kuzungumza.
  3. Telezesha kidole juu ili uanze kurekodi bila kushikilia.
  4. Mara unapomaliza, gusa Tuma ili utume ujumbe.

Wakati unarekodi ujumbe mrefu wa sauti, unaweza kugusa Ghairi ili ughairi. Unaweza pia kugusa kitufe chekundu cha kusitisha ili usitishe kunakili au uhakiki rasimu ya ujumbe wako. Gusa aikoni nyekundu ya maikrofoni ili kuendelea kunakili kwenye ujumbe huo huo wa sauti.

Kumbuka: Kwenye baadhi ya simu, huenda itakubidi usubiri kwa sekunde kabla ya kuzungumza ikiwa mwanzo wa ujumbe wako haukurekodiwa.

Kwenye ujumbe wa sauti uliotumwa utaona:

  • Maikrofoni ya kijivu kwa ujumbe wa sauti ambao haujachezwa na wapokeaji wote (lakini unaweza kuwa umechezwa na baadhi).
  • Maikrofoni ya bluu kwa ujumbe wa sauti ambao wapokeaji wote wameucheza.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kucheza ujumbe wa sauti
  • Jinsi ya kuhakiki ujumbe wa sauti
  • Makala haya yamekusaidia?
    NdiyoLa
    Kwanini makala hii haikukufaidi?
    • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
    • Makala hii haikujibu swali langu
    • Suluhisho si sahihi
    • Sipendi kipengele au sera
    Asante kwa maoni yako
    Kituo cha Msaada

    WHATSAPP

    Vipengele

    Usalama

    Pakua

    WhatsApp Web

    Biashara

    Faragha

    KAMPUNI

    Kuhusu

    Kazi

    Kituo cha Bidhaa

    Kuwa karibu

    Blog

    Hadithi za WhatsApp

    PAKUA

    Mac/PC

    Android

    iPhone

    MSAADA

    Kituo cha Msaada

    Twitter

    Facebook

    Virusi vya Korona

    2022 © WhatsApp LLC

    Faragha na Masharti