Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kurejesha historia ya soga yako

Rejesha historia yako ya soga kutoka kwa chelezo ya iCloud

  1. Thibitisha kuwa kuna chelezo ya iCloud kwenye WhatsApp > Mipangilio > Soga > Chelezo ya Soga.
  2. Ikiwa unaweza kuona ni lini chelezo la mwisho lilifanywa, futa na sakinisha upya WhatsApp.
  3. Baada ya kuthibitisha namba yako ya simu, fuata maagizo ili kurejesha historia yako ya soga.
Dondoo:
  • Lazima uingie ndani na ID ya Apple unayotumia kuingia kwenye iCloud na lazima iCloud Drive iwashwe.
  • Ni lazima kuwe na nafasi ya kutosha kwa iCloud na iPhone. Unahitaji angalau mara 2.05 ya nafasi huru kwenye akaunti yako ya iCloud na kwenye simu yako kuliko nafasi kamili ya chelezo yako.
  • Namba ya simu iliyotumiwa kwa kucheleza na kurejesha lazima ziwe sawa. Huwezi kurejesha historia ya soga kutoka kwa akaunti nyingine ya WhatsApp.
  • Kwa kuwa chelezo zina husishwa na nambari ya simu, inawezekana kuwa na chelezo kadhaa kwa akaunti ya WhatsApp kwenye akaunti hiyohiyo ya iCloud.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kucheleza kwenye iCloud
  • Siwezi kuunda au kurejesha chelezo la iCloud
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti