Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kusimamia watawala wa kikundi

Mtawala yeyote katika kikundi anaweza kumfanya mshiriki mtawala. Kikundi kinaweza kuwa na idadi isiyo na kikomo ya watawala.

Kumbuka: Muumba wa awali wa kikundi hawezi kuondolewa na daima atabaki mtawala isipokuwa aondoke kwenye kikundi.

Kumfanya mshiriki mtawala:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye tab ya Soga. Kisha gusa Zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa mshiriki unayetaka kumfanya mtawala.
  3. Gusa Mfanye mtawala wa kikundi.

Kumwondoa mtawala:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye tab ya Soga. Kisha gusa Zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa mtawala unayetaka kumwondoa.
  3. Gusa Ondoa kama mtawala.

Kuwafanya washiriki wengi watawala kwa wakati mmoja:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye tab ya Soga. Kisha gusa Zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya kikundi > Hariri watawala wa kikundi.
  3. Chagua washiriki unaotaka kuwafanya watawala.
  4. Gusa Imekamilika.

Kuwaondoa watawala wengi kwa wakati mmoja:

  1. Fungua soga ya kikundi ya WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Mbadala, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye tab ya Soga. Kisha gusa Zaidi > Maelezo ya kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya kikundi > Hariri watawala wa kikundi.
  3. Usichague watawala unaotaka kuwaondoa.
  4. Gusa Imekamilika.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti