Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kusambaza ujumbe

Tumia kipengele cha kusambaza ili usambaze ujumbe kutoka kwenye soga ya binafsi au ya kikundi kwenda kwenye soga ya binafsi au ya kikundi. Ujumbe uliosambazwa huashiriwa kwa lebo ya “Ulisambazwa” ili kukusaidia kujua kama rafiki au ndugu yako aliandika ujumbe aliotuma au ikiwa ujumbe huo ulitoka kwa mtu mwingine.

Unaposambaza ujumbe unaweza kushirikisha hadi soga tano kwa wakati mmoja. Ujumbe ukiwa umesambazwa mara nyingi, unaweza tu kusambazwa katika soga moja kwa wakati mmoja.


Kusambaza ujumbe

  1. Kwenye soga ya binafsi au ya kikundi, gusa na ushikilie ujumbe unaotaka kusambaza, kisha uguse Sambaza.
    • Kusambaza ujumbe kadhaa, unaweza kuchagua ujumbe zaidi baada ya kuchagua ujumbe wa kwanza.
  2. Gusa Sambaza.
  3. Tafuta au chagua soga za binafsi au za kikundi unazotaka kusambazia ujumbe.
  4. Gusa Sambaza.

Kumbuka:

  • Unaweza pia kusambaza media, mahali, au waasiliani ili usizipakie tena.
  • Ujumbe wowote unaosambaza ambao si wako mwenyewe utaonekana ukiwa na lebo ya "Ulisambazwa" kwako na kwa kila mpokeaji anayepata ujumbe huo.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu kikomo cha kusambaza
  • Jinsi ya kusambaza ujumbe: Android | Web na Desktop | KaiOS
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti