Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kufuta jumbe

Unaweza kufuta jumbe kwako mwenyewe au omba kwamba jumbe zifutwe kwa kila mtu.

Kufuta jumbe kwa kila mtu

Kufuta jumbe za kila mtu kunakukubalia kufuta jumbe maalum uliyotuma kwa soga ya kibinafsi au kikundi. Hii ina faida ikiwa ulituma ujumbe kwa soga isiyo sawa au kama ujumbe uliotuma una makosa.

Jumbe ambazo zimefutwa tayari zitawakilishwa na:

“Ujumbe huu ulifutwa”

Kufuta jumbe za kila mtu:

  1. Fungua WhatsApp na nenda kwenye soga iliyo na ujumbe unaotaka kufuta.
  2. Gusa na shikilia ujumbe > chagua Futa kutoka kwenye menyu. Kwa hiari, chagua jumbe zaidi ili kufuta jumbe nyingi kwa mara moja.
    • Ukiulizwa, gusa Zaidi > chagua Futa kutoka kwa menyu.
  3. Gusa Futa > Futa kutoka kwa Kila Mtu.

Kumbuka:

  • Ili jumbe zifutwe kwa ufanisi kwa kila mtu, wewe na wapokeaji lazima mtumie toleo la karibuni la WhatsApp.
  • Wapokeaji wanaotumia WhatsApp ya iOS bado wanaweza kuwa na jumbe zikiwa zimehifadhiwa kwenye picha zao hata baada ya kufutwa kwenye soga za WhatsApp.
  • Wapokeaji wanaweza kuona ujumbe kabla haujafutwa au kama ufutaji haukufanikiwa.
  • Hautaarifiwa kama ufutaji kwa kila mtu haukufanikiwa.
  • Una saa moja tu baada ya kutuma ujumbe kuuliza kutimiza Futa kwa kila Mtu.

Kujifutia jumbe

Unaweza kufuta nakili yako ya jumbe ulizotuma au kupokea kwenye simu yako. Hii haina athari kwenye soga za wapokeaji wako. Wapokeaji wako bado wataona jumbe katika skrini zao za soga.

Kujifutia jumbe:

  1. Fungua WhatsApp na nenda kwenye soga iliyo na ujumbe unaotaka kufuta.
  2. Gusa na shikilia ujumbe > chagua Futa kutoka kwenye menyu. Kwa hiari, chagua jumbe zaidi ili kufuta jumbe nyingi kwa mara moja.
    • Ukiulizwa, gusa Zaidi > chagua Futa kutoka kwa menyu.
  3. Gusa Futa > Futa yangu.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kufuta jumbe: Android | KaiOS

Jinsi ya futa soga: Android | iPhone

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti