Kufuta soga kunakuruhusu kufuta jumbe zote kwenye soga. Soga bado itaorodheshwa kwenye orodha ya soga.
Futa soga ya kibinafsi au soga ya kikundi
- Kwenye tab ya Soga, telezesha kushoto kwenye soga ya kibinafsi au soga ya kikundi unachotaka kufuta.
- Gusa Zaidi > Futa Soga.
- Gusa Futa zote isipokuwa zilizo na nyota au Futa jumbe zote.
Futa soga zote kwa wakati mmoja
- Nenda WhatsApp Mipangilio > Soga > Futa Soga Zote.
- Ingiza namba yako ya simu > gusa Futa Soga Zote.
Rasilimali zinazohusiana: