Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
iPhoneSoga

Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa kikundi

Kwa chaguomsingi, washiriki wowote wanaweza kutuma ujumbe na kubadilisha maelezo ya kikundi ikiwa ni pamoja na mada ya kikundi, aikoni, au maelezo. Hata hivyo, msimamizi wa kikundi anaweza kubadili mipangilio ya kikundi ili kuruhusu wasimamizi pekee kuhariri maelezo ya kikundi au kutuma ujumbe.

Kubadilisha mipangilio ya maelezo ya kikundi

  1. Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye kichupo cha Soga. Kisha, gusa Zaidi > Maelezo ya Kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya Kikundi > Hariri Maelezo ya Kikundi.
  3. Chagua kuruhusu Washiriki Wote au Wasimamizi Tu kuhariri maelezo ya kikundi.

Kubadili mipangilio ya ujumbe katika kikundi

  1. Fungua soga husika ya kikundi cha WhatsApp, kisha gusa mada ya kikundi.
    • Au, telezesha kikundi upande wa kushoto kwenye kichupo cha Soga. Kisha, gusa Zaidi > Maelezo ya Kikundi.
  2. Gusa Mipangilio ya Kikundi > Kutuma Ujumbe.
  3. Chagua kuruhusu Washiriki Wote au Wasimamizi Tu kutuma ujumbe.

Washiriki wanaweza kuwasiliana na msimamizi moja kwa moja kwa kugusa wasimamizi kwenye kikundi, kisha kugusa jina la msimamizi wanayetaka kumtumia ujumbe.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kufanya mabadiliko kwenye vikundi
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti