Jinsi ya kuzuia au kuruhusu biashara
Kuacha kupokea ujumbe kutoka kwa biashara kwenye WhatsApp:
- Fungua soga husika kutoka kwenye biashara.
- Gusa jina la biashara, kisha gusa Zuia au Zuia Biashara.
Kuruhusu biashara kwenye WhatsApp:
- Nenda kwenye mipangilio ya WhatsApp.
- Gusa Akaunti > Faragha > Waliozuiliwa.
- Chagua jina la biashara, kisha gusa Ruhusu au Ruhusu Biashara.
Rasilimali zinazohusiana:
- Kuhusu kupiga soga na biashara
- Kuhusu kukubali kushiriki kwenye soga za biashara
- Jinsi ya kuzuia na kuruhusu waasiliani
- Jinsi ya kunyamazisha au kurejesha arifa