Jinsi ya kuhariri jalada lako
Unaweza kuhariri picha yako ya jalada, jina na taarifa kuhusu kwenye mipangilio ya WhatsApp.
Hariri picha yako ya jalada
- Nenda kwa Mipangilio ya WhatsApp.
- Gusa picha yako ya jalada.
- Kama:
- Huna picha ya jalada: Gusa ongeza picha. Unaweza Kupiga Picha au Kuchagua Picha.
- Una picha ya jalada: Gusa Hariri > Hariri. Unaweza Kufuta Picha, Kupiga Picha, au Kuchagua Picha.
Hariri jina lako la jalada
- Nenda kwa Mipangilio ya WhatsApp.
- Gusa picha yako ya jalada, kisha gusa jina lako.
- Ingiza jina lako jipya.
- Kikomo cha jina ni herufi 25.
- Unaweza kuongeza emoji kwa kugusa Emoji
.
- Gusa Imekamilika.
Jina lako la jalada litaonekana kwa watumiaji kwenye vikundi ambavyo hawajahifadhi maelezo yako ya mawasiliano kwenye vitabu vya anwani zao.
Hariri taarifa za kukuhusu
- Nenda kwa Mipangilio ya WhatsApp.
- Gusa picha yako ya jalada.
- Gusa uga wa KUHUSU.
- Unaweza kufanya mojawapo:
- Chagua picha ya jalada.
- Gusa kuhusu taarifa zako kwa SASA ZIMEWEKWA KWA kubinafsisha. Kikomo cha maelezo ni herufi 139.
Dokezo:
- Taarifa zako haziwezi kuwa tupu.
- Unaweza kubadilisha mipangilio yako ya faragha kudhibiti anayeweza kuona picha yako ya faragha au kuhusu taarifa.
- Kama ukimzuia mwasiliani, mtu huyo hawezi kuona sasisho zozote kwenye picha ya jalada au kuhusu taarifa.
Rasilimali zinazohusiana:
- Jinsi ya kuhariri jalada lako kwenye: Android | Web na Desktop | KaiOS
- Jinsi ya kubadilisha mipangilio yako ya faragha
- Jinsi ya kubadilisha mipangilio yako ya faragha za kikundi