Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. iPhone
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kubadilisha nambari yako ya simu

Kipengele cha kubadilisha nambari yako ya simu kinakuruhusu kubadilisha nambari ya simu inayohusishwa na akaunti yako ya WhatsApp kwenye simu hiyohiyo au mpya. Kabla hujabadilisha nambari yako ya simu:

  • Hakikisha kuwa nambari yako mpya ya simu inaweza kupokea SMS au simu na ina muunganisho amilifu wa selula.
  • Hakikisha kuwa simu yako ya zamani sasa imesajiliwa kwenye WhatsApp ya simu yako. Unaweza kupata nambari yako iliyosajiliwa kwa kufungua Mipangilio ya WhatsApp na kugusa picha yako ya jalada.

Badilisha nambari ya simu kwenye simu hiyohiyo

Ingiza SIM kadi iliyo na nambari mpya ya simu kwenye simu yako. Kisha fuata hatua zifuatazo.

  1. Fungua WhatsApp Mipangilio.
  2. Gusa Akaunti > Badilisha Nambari > Ifuatayo.
  3. Ingiza nambari yako ya zamani ya simu kwenye uga wa kwanza na nambari yako mpya ya simu kwenye uga wa pili, zote kwenye mfumo kamili wa kimataifa.
  4. Gusa Ifuatayo.
    • Ukiwasha Waarifu Waasiliani, unaweza kuchagua kama unataka kuwaarifu Waasiliani wote, Waasiliani ambao nina piga soga nao au Maalum... Ukichagua Maalum..., utahitaji kutafuta au kuchagua waasiliani unaotaka kuwaarifu, kisha gusa Imekamilika.
    • Vikundi vyako vya soga vitaarifiwa kiotomatiki unapobadilisha nambari yako ya simu, bila kujali kama hukuchagua kuwaarifu waasiliani.
  5. Gusa Imekamilika.
  6. Kisha utaulizwa kusajili nambari yako mpya ya simu. Jifunze zaidi kwenye makala haya.
Badilisha nambari ya simu kwenye simu mpya

Kuhamisha historia yako ya soga, utahitaji kuunda chelezo la iCloud au la kompyuta kwenye simu yako ya zamani. Jifunze jinsi ya kufanya kwenye makala haya. Kama huundi chelezo la iCloud au la kompyuta, utahitaji kutembelea tovuti ya Msaada ya Apple kwa maelezo zaidi kwa jinsi ya kurejesha chelezo lako.

Baada ya kubadilisha nambari yako ya simu kwenye simu yako ya zamani, fuata hatua zifuatazo kwa kutumia simu yako mpya:

  1. Sakinisha WhatsApp.
  2. Sajili nambari yako mpya ya simu tena.
  3. Rejesha chelezo lako.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu kubadilisha nambari za simu
  • Kuhusu kubadilisha simu
  • Jinsi ya kubadilisha nambari yako ya simu kwenye Android
  • Huwezi kubadilisha nambari ya simu
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti