Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
KaiOsAkaunti na Jalada

Jinsi ya kubadilisha lugha

WhatsApp inapatikana kwa zaidi ya lugha 40 na mpaka 60 kwenye Android. Kwa sheria ya jumla, WhatsApp hufuata lugha ya simu yako. Kwa mfano, ukibadilisha lugha ya simu yako kwa Kihispania, WhatsApp itakuwa kwa Kihispania kiotomatiki.

Kubadilisha lugha ya simu yako:

  • Android: Nenda kwenye simu yako Mipangilio > Mfumo > Lugha & pembejeo > Lugha. Gusa na shikilia lugha kuiweka juu, au gusa Ongeza lugha .
  • iPhone: Nenda Mipangilio ya iPhone > Jumla > Lugha & Eneo > Lugha ya iPhone. Chagua lugha, halafu gusa Imekamilika > Badili {lugha}.
  • Windows Phone: Nenda kwenye simu yako Mipangilio > Saa & lugha > Lugha. Gusa Ongeza lugha, au gusa na shikilia lugha > kisha gusa Sogeza juu mpaka ifike sehemu ya juu. Tafadhali kumbuka utahitaji kuanzisha upya simu yako kwa mabadiliko haya kutimizwa.
  • KaiOS: Bonyeza Mipangilio kwenye menyu ya programu > sogeza kwa upande kuchagua Utambulisho > sogeza chini na bonyeza Lugha > bonyeza Lugha > chagua lugha unayotaka kutumia > bonyeza SAWA au CHAGUA.

Hiari zaidi inapatikana kwa nchi zinazowezeshwa

Ikiwa unatumia simu ya Android. unaweza kuwa na hiari ya kubadili lugha ya WhatsApp kutoka ndani ya programu. Kufanya hivyo:

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Soga > Lugha ya programu.
  3. Katika popup inayoonekana, chagua lugha unayotaka.

Kumbuka: Ikiwa huoni hiari hii, labda haiwezeshwi katika nchi yako.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti