Kufikia Jukwaa la WhatsApp Business
Jukwaa la WhatsApp Business huenda bado halipatikani kwako. Kagua maktaba yetu ya maudhui ya msaada wa Jukwaa la WhatsApp Business hapa.
Ili kuhakikisha hali bora ya huduma kwa watumiaji, tunadhibiti idadi ya biashara zinazoweza kutumia Jukwaa la WhatsApp Business.
Kama unapendelea kujaribu zana zetu za biashara, unaweza kujaza fomu hii. Tunaweza kuwasiliana nawe tukipanua mpango wetu. Tafadhali kumbuka kuwa fomu si hakikisho ya kufikia mpango mapema.