Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Simu za Sauti na Video

Jinsi ya kuweka au kuondoa akaunti yako ya WhatsApp kwenye Portal

Kuweka akaunti yako

Kumbuka: Ukiamua kuweka akaunti yako ya WhatsApp, waasiliani wako hawashirikiwi na Facebook, lakini watahifadhiwa kwenye kifaa cha Portal.

  1. Kwenye Portal yako, gusa au chagua Mipangilio > Akaunti > jina lako > Unganisha WhatsApp. Utaona msimbo ambao utahitaji kuutumia ili uingie kwenye Facebook.
  2. Fungua facebook.com/device kwenye kivinjari cha simu au kompyuta yako. Ikiwa unatumia:
    • Simu: Gusa WEKA MSIMBO. Weka msimbo, halafu gusa ENDELEA > Thibitisha.
    • Kompyuta: Weka msimbo, halafu bofya Endelea > Thibitisha.
  3. Kwenye Portal yako, chagua Kwa kuchagua, unakubali kupokea ujumbe kutoka kwenye Portal katika WhatsApp.
  4. Gusa au chagua Endelea > Inayofuata.
  5. Fungua WhatsApp kwenye simu yako.
    • Android: Gusa Chaguo zaidi > Vifaa Vilivyounganishwa > UNGANISHA KIFAA. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ikiwa kifaa chako kina uthibitishaji wa bayometriki. Ikiwa hujawasha uthibitishaji wa bayometriki, utaombwa uweke PIN ambayo huwa unatumia kufungua simu yako.
    • iPhone: Nenda kwenye Mipangilio ya WhatsApp > gusa Vifaa Vilivyounganishwa > Unganisha Kifaa > SAWA. Kwenye iOS 14 na matoleo ya baadaye, tumia Touch ID au Face ID kufungua. Ikiwa hujawasha uthibitishaji wa bayometriki, utaombwa uweke PIN ambayo huwa unatumia kufungua simu yako.
  6. Tumia simu yako kuchanganua msimbo wa QR ulio kwenye Portal yako.
  7. Kwenye Portal yako, gusa au chagua Nimemaliza.

Kumbuka: Uthibitishaji hushughulikiwa na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kwa kutumia alama za bayometriki zilizohifadhiwa humo. WhatsApp haiwezi kufikia taarifa za bayometriki zilizohifadhiwa kwenye mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako.

Kuondoa akaunti yako

  1. Kwenye Portal yako, gusa au chagua Mipangilio > Akaunti > jina lako > WhatsApp > Ondoa Akaunti.
  2. Fungua WhatsApp kwenye simu au WhatsApp Web au WhatsApp Desktop kwenye kompyuta yako.
  3. Fungua soga husika iliyo na "Portal kutoka Facebook" ili uone msimbo wa uthibitishaji uliotumwa.
  4. Kwenye Portal yako, weka msimbo wa uthibitishaji, halafu gusa au chagua Nimemaliza > Ondoa.

Rasilimali zinazohusiana

  • Jinsi ya kumpigia simu mwasiliani wa WhatsApp kwenye Portal
  • Pata maelezo zaidi kuhusu Portal katika Kituo cha Msaada cha Portal.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti