Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Simu za Sauti na Video

Kuhusu Vyumba vya Messenger

Vyumba vya Messenger vinakuwezesha kupigiana simu na kutangamana na familia, marafiki na watu ambao mna mambo yanayowaunganisha. Kwa kutumia programu ya Messenger au kufungua tovuti ya Messenger kwenye simu au kivinjari cha wavuti, unaweza kuanzisha vyumba ambamo vikundi vikubwa vinaweza kujumuika ili kupiga soga ya video. Kisha unaweza kutuma viungo vya mwaliko kwa watu unaowasiliana nao na vikundi vya soga kwenye WhatsApp ili waweze kujiunga na vyumba hivi, hata kama hawana akaunti ya Facebook au programu ya Messenger.

Njia za mkato za Vyumba vya Messenger hazipatikani tena ndani ya WhatsApp. Messenger ni programu na tovuti tofauti, kwa hivyo unapounda chumba, unahitaji kuingia kwa kutumia akaunti yako ya Facebook. Kipengele cha Vyumba kipo nje ya WhatsApp, na soga za video kwenye Vyumba vya Messenger havina ufumbaji wa mwisho hadi mwisho.

Mtumiaji yeyote wa WhatsApp unayeshiriki naye kiungo cha chumba anaweza kujiunga na chumba, kwa hivyo shiriki kiungo hiki na watu unaowaamini pekee. Inawezekana kwa mtu kusambaza kiungo hicho kwa watu wengine. Ikiwa hivyo, watu wengine pia wanaweza kujiunga na chumba, hata kama hukuwatumia kiungo moja kwa moja.

Vyumba vya Messenger ni kipengele kinachomilikiwa na kuundwa na Messenger. Kwa kuwa Messenger na bidhaa nyingine za Facebook hazina lugha zote zinazopatikana kwenye WhatsApp, unaweza kuona baadhi ya ujumbe uliowekwa mapema au viungo kutoka Messenger kwa lugha tofauti na ile ya simu au kompyuta yako. Unapotumia Vyumba vya Messenger au bidhaa nyingine za Facebook, masharti na desturi za faragha za bidhaa hizo zitasimamia utumiaji wako wa huduma hizo. Kwa maelezo zaidi kuhusu Vyumba vya Messenger, tafadhali soma makala haya. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi WhatsApp inavyofanya kazi na Kampuni nyingine za Meta, angalia Masharti yetu ya Huduma na Sera za Faragha.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti