Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaUtatuaji

Matatizo ya kutuma na kupokea jumbe

Sababu ya kawaida kwa nini huwezi kutuma au kupokea ujumbe wa WhatsApp ni muunganisho dhaifu wa intaneti. Jifunze jinsi ya kutatua matatizo ya muunganisho kwenye: Android | iPhone

Ikiwa una hakika kuwa simu yako imeunganishwa kwenye intaneti, kuna sababu chache zinazofanya jumbe za WhatsApp zisipite:

  • Simu yako inahitaji kuanzishwa tena au kuzima na kuwashwa.
  • Mwasiliani unayewasiliana naye amezuia namba yako. Pata maelezo zaidi kwenye makala hii.
  • Haujamaliza mchakato wa uthibitisho wa awali. Jifunze kuhusu kuthibitisha kwenye: Android | iPhone.
  • Namba ya mwasiliani ambaye unajaribu kumtumia ujumbe kwenye WhatsApp haijahifadhiwa kwa usahihi kwenye simu yako. Jifunze muundo sahihi wa kila namba ya simu hapa.


Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti