Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Umezuiliwa kwa Muda

Kuhusu Akaunti Zilizopigwa Marufuku Kwa Muda

Ukipokea ujumbe ndani ya programu unaosema kuwa akaunti yako “Imepigwa marufuku kwa muda” hii ina maana kwamba huenda unatumia toleo la WhatsApp lisilopokea msaada badala ya programu rasmi ya WhatsApp au unashukiwa kuvuna taarifa kwa njia zisizokubalika, ambazo pia zinazojulikana kama kukomba taarifa. Ikiwa hutaanza kutumia programu rasmi au kuacha kujihusisha katika kukomba taarifa baada ya kuzuiliwa kwa muda, akaunti yako inaweza kupigwa marufuku kabisa ili usitimie WhatsApp.

Kukomba ni hatua ya kuvuna taarifa, kimahususi na katika kiwango cha chini zaidi, kwa kutumia zana ya kiotomatiki au kwa kujifanyia kwa madhumuni yoyote ambayo hayaruhusiwi. Kupata taarifa za mtumiaji kwa njia hii, ikijumuisha nambari za simu, picha za wasifu wa mtumiaji na hali kutoka kwenye WhatsApp kunakiuka Sheria na Masharti yetu.

Programu zisizo rasmi, kama vile WhatsApp Plus, GB WhatsApp au programu ambazo zinadai kuweza kuhamisha soga zako kati ya simu, ni matoleo ya WhatsApp yaliyobadilishwa. Programu hizi zisizo rasmi hutengenezwa na wahusika wengine na zinakiuka Masharti yetu ya Huduma. WhatsApp haitoi msaada kwa programu hizi za wahusika wengine kwa sababu hatuwezi kuthibitisha desturi zao za usalama.

Jinsi ya kuanza kutumia toleo rasmi la programu ya WhatsApp

Huenda ukahitaji kuhifadhi nakala ya soga zako kabla ya kuhamia kwenye programu rasmi ya WhatsApp. Jina la programu isiyo rasmi unayotumia huamua kama unahitaji kuhamisha historia yako ya soga. Pata jina la programu kwa kugusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Msaada > Maelezo ya programu. Fuata hatua zilizo hapa chini kulingana na jina la programu: WhatsApp Plus au GB WhatsApp.

Kwa watumiaji wa Android, ikiwa unatumia programu kama vile WhatsApp Plus au GB WhatsApp, tunapendekeza uhifadhi historia ya soga zako kabla ya kupakua programu rasmi ya WhatsApp.

GB WhatsApp

Tunapendekeza ufuate hatua zilizo hapa chini ili uhifadhi na kuhamisha historia ya soga zako. Kutofuata hatua hizi kutasababisha kupotea kwa historia ya soga. Tafadhali kumbuka kuwa hatuwezi kukuhakikishia kwamba hatua hii itahamisha historia ya soga zako kwa ufanisi kwa sababu WhatsApp haitoi msaada kwa programu zisizo rasmi.

  1. Subiri muda wa kupigwa marufuku kwa muda uishe. Kipima muda kitaonyesha urefu wa marufuku.
  2. Kwenye GB WhatsApp, gusa Chaguo zaidi > Soga > Hifadhi nakala ya soga.
  3. Nenda kwenye Mipangilio ya Simu > gusa Hifadhi > Faili.
  4. Pata folda ya GB WhatsApp kisha uiguse na kuishikilia ili uichague.
  5. Katika kona ya juu ya upande wa kulia gusa Zaidi > Badili jina halafu ubadili jina la folda kuwa “WhatsApp”.
  6. Nenda kwenye Play Store upakue programu rasmi ya WhatsApp. Ikiwa huwezi kufikia Play Store, pakua programu hapa.
  7. Kwenye WhatsApp, thibitisha nambari yako ya simu. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuthibitisha kwenye makala haya.
  8. Kwenye skrini ya Nakala imepatikana, gusa Rejesha > Inayofuata.
  9. WhatsApp inapaswa kufunguka ikiwa na soga zako zilizokuwepo.
WhatsApp Plus

Ikiwa historia ya soga zako ikuwa imehifadhiwa, inapaswa kuhamia moja kwa moja kwenye programu rasmi ya WhatsApp. Pata maelezo ya jinsi ya kuhifadhi historia ya soga zako kwenye Kituo chetu cha Msaada.

  1. Nenda kwenye Play Store upakue programu ya WhatsApp. Ikiwa huwezi kufikia Play Store, pakua programu hapa.
  2. Thibitisha nambari yako ya simu. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuthibitisha kwenye makala haya.

Rasilimali

  • Ikiwa unatumia toleo rasmi la programu ya WhatsApp na akaunti yako imepigwa marufuku, rejelea makala haya.
  • Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kutumia WhatsApp kwa uwajibikaji kwenye makala haya.
  • Pata maelezo zaidi kuhusu kukomba taarifa kwenye makala haya.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti