Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaHali

Jinsi ya kushirikisha hadhi yako ya WhatsApp kwenye programu zingine

Kwenye Android na iPhone, una hiari ya kushirikisha sasisho za hadhi zako za WhatsApp kwenye Hadithi za Facebook na programu zingine. Jifunze zaidi kuhusu faragha ya hadhi kwenye makala hii.

Kushirikisha sasisho ya hadhi yako kwenye Hadithi za Facebook

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Hadhi.
  3. Kuunda sasisho ya hadhi kwenye: Android | iPhone
  4. Una hiari mbili za kushirikisha kulingana na kama unataka kushirikisha sasisho ya hadhi mpya au ya zamani:
    • Shirikisha sasisho ya hadhi mpya: Chini ya Hadhi yangu, gusa Shirikisha kwenye Hadithi ya Facebook. Ukiulizwa, gusa Ruhusu au Fungua kufungua programu ya Facebook. Kwenye programu ya Facebook, chagua watu unaotaka kushirikishia, kisha gusa Shirikisha Sasa. Tafadhali kumbuka kuwa hiari ya Shirikisha kwenye Hadithi ya Facebook itapotea mara unapoenda kwenye tab nyingine.
    • Shirikisha sasisho ya hadhi ya zamani: Gusa Hadhi yangu kwenye iPhone au Zaidi kwa Hadhi yangu kwenye Android. Kisha, gusa Zaidi ( au ) karibu na sasisho ya hadhi unayotaka kushirikisha, kisha gusa Shirikisha kwenye Facebook. Ukiulizwa, gusa Ruhusu au Fungua kufungua programu ya Facebook. Kwenye programu ya Facebook, chagua watu unaotaka kushirikishia, kisha gusa Shirikisha Sasa.
  5. Baada ya kushirikisha sasisho ya hadhi, WhatsApp itafunguka tena.
Kumbuka:
  • Ikiwa una sasisho nyingi za hadhi, unaweza kuchagua zile ambazo unataka kushirikisha kwenye Hadithi za Facebook.
  • Kipengele hiki kinapatikana tu kama ume sakinisha mojawapo za programu zifuatazo kwenye kifaa chako: Facebook kwenye Android, Facebook Lite kwenye Android au Facebook kwenye iOS.

Kushirikisha sasisho ya hadhi yako kwenye programu zingine

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Hadhi.
  3. Kuunda sasisho ya hadhi kwenye: Android | iPhone
  4. Una hiari mbili za kushirikisha kulingana na kama unataka kushirikisha sasisho ya hadhi mpya au ya zamani:
    • Shirikisha sasisho ya hadhi mpya: Chini ya Hadhi yangu, gusa Shirikisha ( au ). Tafadhali kumbuka kuwa hiari ya Shirikisha itapotea mara unapoenda kwenye tab nyingine.
    • Shirikisha sasisho ya hadhi ya zamani: Gusa Hadhi yangu kwenye iPhone au Zaidi kwa Hadhi yangu kwenye Android. Kisha, gusa Zaidi ( au ) karibu na sasisho ya hadhi unayotaka kushirikisha, kisha gusa Shirikisha.
  5. Kwenye trei ya kushirikisha inayotokea, gusa programu unayotaka kushirikishia sasisho ya hadhi yako.

Rasilimali

  • Jifunze zaidi kuhusu Hadithi za Facebook kwenye Kituo cha Msaada cha Facebook.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti