Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Hali

Kuhusu faragha ya hali

Sasisho zako za hali zinaweza tu kuonwa na mtu ikiwa una nambari yake ya simu kwenye kitabu chako cha anwani na ana nambari yako ya simu kwenye kitabu chake cha anwani. Unaweza kuchagua kushirikisha sasisho za hali zako na waasiliani wako wote, au kwa waasiliani unaowachagua tu. Kimsingi, sasisho za hali zako zinashirikishwa kwa waasiliani wako wote.

Kubadilisha faragha ya hali yako

  1. Gusa Hali.
    • Android: Gusa Hiari zaidi > Faragha ya hali.
    • iPhone: Gusa Faragha.
  2. Chagua mojawapo ya hiari zifuatazo:
    • Waasiliani wangu: Waasiliani wote wataona sasisho za hali zako.
    • Waasiliani wangu isipokua...: Waasiliani wako wote isipokua watu unaowachagua wataona sasisho zako za hali.
    • Shirikisha tu na...: Waasiliani wako tu unaowachagua ndio wataona sasisho zako za hali.
Dokezo:
  • Mabadiliko kwenye mipangilio yako ya faragha hayataathiri sasisho za hali ambazo tayari umetuma.
  • Kama umelemaza taarifa za kusomwa, hutaweza kuona ni nani aliyeona sasisho za hali yako. Kama mwasiliani amelemaza taarifa za kusomwa, hutaweza kuona kama ameona sasisho za hali yako.

Kushirikisha sasisho za hali kwenye Hadithi za Facebook na programu zingine

Ukishiriki sasisho lako la hali, maudhui ya sasisho la hali yako yatashirikishwa na programu zingine. Unaposhiriki sasisho lako la hali, WhatsApp haitashirikisha taarifa za akaunti yako na Facebook au programu zingine.

Rasilimali zinazohusiana

  • Fahamu jinsi ya kutumia hali kwenye: Android | iPhone
  • Fahamu jinsi ya kushiriki sasisho za hali ya WhatsApp katika programu nyingine kwenye makala haya.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti