Ikiwa unaishi katika nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapo chini (ambazo ni nchi katika Umoja wa Ulaya), huduma zako za WhatsApp zinazotolewa na WhatsApp Ireland Limited, ambaye pia ni msimamizi wa data inayowajibika na maelezo yako wakati unatumia huduma zetu:
Andorra, Austria, Azores, Ubelgiji, Bulgaria, Visiwa vya Kanari, Visiwa vya Channel, Kroatia, Jamhuri ya Ucheki, Denmaki, Estonia, Finland, Ufaransa, Ufaransa Guyana, Ujerumani, Ugiriki, Guadeloupa, Hangari, Isiland, Ireland, Kisiwa cha Man, Italia, Latvia, Liechtenstein, Lithuania, Luxembourg, Madeira, Malta, Martinique, Mayote, Monaco, Uholanzi, Norwei, Polandi, Ureno, Jamhuri ya Kupro, Réunion, Romania, San Marino, Saint Barthélemy, Saint-Martin, Slovakia, Slovenia, Hispania, Uswideni, Uswisi, Uingereza, Ufalme wa Uingereza huru katika Saiprasi, (Akrotiri na Dhekelia), na Mji wa Vatikani.
Ikiwa huishi katika nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapo juu, huduma zako za WhatsApp zinazotolewa na WhatsApp Inc, ambayo pia ni msimamizi wa data inayeajibika na maelezo yako wakati unatumia huduma zetu.