Kampuni za Meta
Pamoja na huduma zinazotolewa na Meta Platforms Inc. na Facebook Ireland Ltd, Meta inamiliki kila moja ya mashirika yaliyoorodheshwa hapa chini, ambayo yanaendesha huduma zao kufuatana na masharti ya huduma na sera zao za faragha. Kwa maelezo zaidi kuhusu desturi za faragha za WhatsApp tafadhali angalia ukurasa wetu wa Faragha kwenye WhatsApp na kwa desturi nyingine za faragha za kampuni nyingine za Meta na jinsi zinavyoshughulikia taarifa binafsi zinapotoa huduma zao kwako, tafadhali tembelea viungo vifuatavyo:
- Facebook Payments Inc. (https://www.facebook.com/payments_terms/privacy) na Facebook Payments International Limited (https://www.facebook.com/payments_terms/EU_privacy)
- Facebook Technologies, LLC na Facebook Technologies Ireland Limited (https://www.oculus.com/store-dp/)
- WhatsApp LLC na WhatsApp Ireland Limited (http://www.whatsapp.com/legal)
- Novi Financial, Inc. na mashirika yake, mashirika ya Novi ulimwenguni (moja moja na kwa pamoja, "Novi") (https://www.novi.com/legal/app/privacy-policy)
- Facebook Pagamentos do Brasil Ltda. (https://www.facebook.com/legal/Facebook_Pagamentos_privacy)