Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaUsalama na Faragha

Arifa ya Badiliko la Msimbo wa Usalama

Soga zilizofumbwa mwisho hadi mwisho huwa na msimbo wa usalama unaotumiwa kuthibitisha kuwa simu na ujumbe unazotuma kwenye soga hiyo zimefumbwa mwisho hadi mwisho. Msimbo huu unapatikana kwenye skrini ya maelezo ya mwasiliani, kama msimbo wa QR pamoja na nambari ya tarakimu-60. Misimbo hii ni ya kipekee kwa kila soga na zinaweza kulinganishwa kati ya watu katika kila soga ili kuthibitisha kwamba ujumbe unaotuma kwenye soga umefumbwa mwisho hadi mwisho. Misimbo ya usalama ni matoleo ya wazi yenye ufunguo maalum unaoshirikihwa kati yako - na usiwe na wasiwasi, sio ufunguo halisi, hiyo huwekwa kwa siri.

Wakati mwingine, misimbo ya usalama inayotumiwa kwenye ufumbaji wa mwisho hadi mwisho inaweza kubadilika. Hili linaweza kutokea kwa sababu wewe au mwasiliani wako amesakinisha upya WhatsApp au amebadilisha simu.

Kupokea arifa wakati misimbo ya usalama imebadilika:

  1. Fungua WhatsApp Mipangilio.
  2. Gusa Akaunti > Usalama.
  3. Kutoka hapa, unaweza kuwezesha arifa za usalama kwa kugusa Onyesha Arifa za Usalama.

Kumbuka: Kipengele hiki kinapatikana tu kwa mwasiliani aliye katika soga iliyofumbwa mwisho hadi mwisho.

Unaweza kuthibitisha kuwa msimbo wa usalama wa mwasiliani wako ni halali. Pata maelezo ya jinsi ya kufanya hivyo kwenye makala haya kuhusu ufumbaji wa mwisho hadi mwisho.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti