Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Usalama na Faragha

Kuhusu umri wa chini wa kutumia WhatsApp

Kama unaishi katika nchi iliyo kwenye Eneo la Uchumi la Ulaya (ambalo linajumuisha Jumuiya ya Ulaya), na nchi yoyote iliyojumuishwa au eneo (kwa pamoja inayojulikana kama Eneo la Ulaya), ni sharti uwe na angalau umri wa miaka 16 (au umri mkubwa zaidi unaohitajika nchini kwako) ili kujisajili na kutumia WhatsApp.

Kama unaishi katika nchi nyingine zisizo za Eneo la Ulaya, lazima uwe na umri wa angalau miaka 13 (au umri mkubwa unaohitajika nchini mwako) kusajili na kutumia WhatsApp.

Tafadhali rejelea Masharti yetu ya Huduma kwa maelezo zaidi.

Kumbuka:

  • Kuunda akaunti ukitumia taarifa za uongo ni ukiukaji wa Masharti yetu.
  • Kusajili akaunti kwa niaba ya mtu aliye chini ya umri pia ni ukiukaji wa Masharti yetu.

Kuripoti mtoto aliye chini ya umri

Ikiwa mtoto wako aliye chini ya umri unaoruhusiwa alifungua akaunti ya WhatsApp, unaweza kumwonyesha jinsi ya kufuta akaunti yake. Unaweza kupata maelezo kuhusu jinsi ya kufuta akaunti kwenye Kituo chetu cha Msaada.

Ikiwa ungependa kuripoti akaunti inayomilikiwa na mtu aliye chini ya umri unaoruhusiwa, tafadhali tutumie barua pepe. Kwenye barua pepe yako, tafadhali weka nyaraka zifuatazo na upunguze au ufiche taarifa zozote za binafsi zisizohusiana na ripoti unayopiga:

  • Uthibitisho wa umiliki wa nambari ya WhatsApp (kwa mfano, nakala ya kitambulisho kilichotolewa na serikali na bili ya simu iliyo na jina lilo hilo)
  • Uthibitisho wa kuwa na mamlaka ya mzazi (kwa mfano, nakala ya cheti cha kuzaliwa au kuasiliwa kwa mtoto mwenye umri wa chini)
  • Uthibitisho wa tarehe ya kuzaliwa kwa mtoto (kwa mfano, nakala ya cheti cha kuzaliwa au kuasiliwa kwa mtoto mwenye umri wa chini)

Tutafunga akaunti hiyo ya WhatsApp haraka ikiwa itathibitishwa kuwa akaunti hiyo ni ya mtoto aliye na umri wa chini. Hutapokea uthibitisho wa hatua hii. Uwezo wetu wa kukagua na kuchukua hatua stahiki kutokana na ripoti unaboreshwa sana na ukamilifu wa maelezo tuliyoomba hapo juu.

Ikiwa akaunti ya mtoto iliyoripotiwa haijathibitishwa kwa usahihi kuwa inamilikiwa na mtoto mwenye umri wa chini, basi hatuwezi kuichukulia akaunti hiyo hatua. Katika hali hii, ikiwa wewe si mzazi wa mtoto huyu, basi tunapendekeza sana umhimize mzazi uwasiliane nasi kwa kutumia maelekezo yaliyo hapo juu.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti