Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Usalama na Faragha

Jinsi ya kuzuia usambazaji wa taarifa potofu

Fahamu kuhusu alama za ujumbe uliosambazwa

Ujumbe ukiwa na lebo ya “ulisambazwa”, hukusaidia kubaini kama ndugu au rafiki yako aliandika ujumbe au ikiwa ulitoka kwa mtu mwingine. Ujumbe ukisambazwa kupitia soga tano au zaidi, ikiwa ina maana kwamba umesambazwa angalau mara tano tangu mtumaji wa kwanza, aikoni ya vishale viwili na lebo ya “Umesambazwa mara nyingi” itaonekana. Ikiwa huna uhakika ni nani aliyeandika ujumbe halisi, hakikisha ni ukweli. Kupata maelezo kuhusu kikomo cha kusambaza, rejelea makala haya.

Kuwa makini na unavyoamini

Jihadhari na taarifa ambazo zinathibitisha mambo ambayo tayari unayaamini; chunguza ukweli mwenyewe kabla ya kushiriki taarifa. Hadithi ambazo zinaonekana kuwa vigumu kuamini mara nyingi huwa si za kweli.

Chunguza taarifa kwa vyanzo vingine

Mara nyingi habari ghushi huenea sana, picha, sauti zilizo rekodiwa na video zinaweza kuhaririwa ili kukupotosha. Hata kama ujumbe umeshirikiwa mara nyingi, hilo haliufanyi kuwa wa kweli. Ukipokea taarifa ambayo ni ghushi, mjulishe mtumaji aliyekutumia taarifa ambayo si sahihi na umpendekezee kwamba awe akithibitisha ujumbe kabla ya kushiriki.

Ikiwa huna uhakika kama ujumbe ni wa kweli, tunapendekeza uangalie tovuti za kuaminika za habari kuona ni wapi habari hizo zilitoka. Habari ikiripotiwa katika maeneo mengi na kutoka kwenye vyanzo vinanvyoaminika, inawezekana kabisa kuwa kweli. Unaweza kuwasiliana na wakaguzi wa ukweli au watu unaowaamini, kwa taarifa zaidi. Kwa orodha ya wakaguzi wa ukweli walio na ushirika na Mtandao wa Kimataifa wa Ukaguzi wa Ukweli, angalia makala haya.

Ikiwa mwasiliani anatuma taarifa ghushi kila wakati, mripoti. Ili upate maelezo kuhusu jinsi ya kuripoti ujumbe, mwasiliani au kikundi, soma makala haya.

Kuwa makini na ujumbe ambao unaonekana kuwa tofauti

Ujumbe na viungo vingi visivyohitajika ambavyo unaweza kupokea huwa makosa ya tahajia au sarufi au hukuuliza ushiriki taarifa binafsi. Ili upate maelezo kuhusu jinsi ya kutambua na kushughulikia aina hizi za ujumbe, soma makala haya.

Kumbuka: Ikiwa unajisikia kuwa wewe au mtu mwingine yuko katika hatari ya kihisia au kimwili, tafadhali wasiliana na mamlaka ya kutekeleza sheria mahali ulipo. Mamlaka ya kutekeleza sheria yana vifaa vya kusaidia katika mambo haya.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Mashirika ya IFCN ya kuchunguza ukweli kwenye WhatsApp
  • Jinsi ya kutumia WhatsApp kwa kuwajibika
  • Kuhusu kikomo cha kusambaza
  • Kuhusu taka na ujumbe usiohitajika
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti