Kimsingi, WhatsApp inaweka mipangilio yako ya faragha kurusuhu:
- Mtumiaji yeyote kutazama kaonwa, picha ya jalada, taarifa kuhusu na taarifa za kusomwa
- Waasiliani wako wataona sasisho za hali zako
- Mtumiaji yeyote kukuongeza wewe kwenye vikundi
Kubadilisha mipangilio ya faragha
- Washa:
- Android: Gusa Hiari zaidi
> Mipangilio > Akaunti > Faragha. - iPhone: Gusa Mipangilio > Akaunti > Faragha.
- KaiOS: Bofya Hiari > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
Unaweza kubadilisha anayeweza:
- Kutazama Kaonwa
- Kutazama Picha ya Jalada
- Kutazama Kuhusu arifa
- Kutazama sasisho ya Hali
- Kutazama Risiti ya Kusoma
- Kukuongeza wewe kwenye Vikundi
Dokezo:
- Kama hushirikishi mwisho kaonwa, hutaweza kutazama mwisho kaonwa za wengine.
- Kama ukizima taarifa za kusomwa, hautaweza kuona taarifa za kusomwa kutoka kwa watu wengine. Taarifa za kusomwa hutumwa kwa soga za vikundi kila mara.
- Kama mwasiliani amezima taarifa za kusomwa, hutaweza kuona kama wametazama sasisho ya hali yako.
- Hakuna njia ya kubadilisha kama upo mtandaoni au unaandika....