Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaUsalama na Faragha

Jinsi ya kubadilisha mipangilio yako ya faragha

Kimsingi, WhatsApp inaweka mipangilio yako ya faragha kurusuhu:

  • Mtumiaji yeyote kutazama kaonwa, picha ya jalada, taarifa kuhusu na taarifa za kusomwa
  • Waasiliani wako wataona sasisho za hali zako
  • Mtumiaji yeyote kukuongeza wewe kwenye vikundi

Kubadilisha mipangilio ya faragha

  1. Washa:
    • Android: Gusa Hiari zaidi > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
    • iPhone: Gusa Mipangilio > Akaunti > Faragha.
    • KaiOS: Bofya Hiari > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
  2. Unaweza kubadilisha anayeweza:

    • Kutazama Kaonwa
    • Kutazama Picha ya Jalada
    • Kutazama Kuhusu arifa
    • Kutazama sasisho ya Hali
    • Kutazama Risiti ya Kusoma
    • Kukuongeza wewe kwenye Vikundi
Dokezo:
  • Kama hushirikishi mwisho kaonwa, hutaweza kutazama mwisho kaonwa za wengine.
  • Kama ukizima taarifa za kusomwa, hautaweza kuona taarifa za kusomwa kutoka kwa watu wengine. Taarifa za kusomwa hutumwa kwa soga za vikundi kila mara.
  • Kama mwasiliani amezima taarifa za kusomwa, hutaweza kuona kama wametazama sasisho ya hali yako.
  • Hakuna njia ya kubadilisha kama upo mtandaoni au unaandika....
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti