Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Usalama na Faragha

Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya faragha ya kikundi

WhatsApp imekuwa ikiruhusu mtu yeyote aliye na nambari yako ya simu kukutumia ujumbe au kukuongeza kwenye kikundi. Hii ni sawa na jinsi mtu yeyote anavyoweza kukutumia ujumbe wa SMS au barua pepe ikiwa ana taarifa zako za mawasiliano.

Kimsingi, mipangilio ya faragha ya kikundi chako imewekwa kuwa Kila mtu ili uweze kuungana kwa urahisi na ndugu na marafiki, hata kama hawapo kwenye orodha ya unaowasiliana nao.

Kwa faragha zaidi, pia tumeongeza uwezo wa kudhibiti ni nani anaweza kukuongeza kwenye kikundi kwa kurekebisha Mipangilio yako ya WhatsApp.

Kumbuka: Mabadiliko kwenye mipangilio ya faragha ya kikundi hayawezi kufanywa kwenye WhatsApp Web au Desktop, lakini mipangilio kwenye simu yako itasawazishwa na WhatsApp Web na WhatsApp Desktop.

Kubadilisha mipangilio ya faragha ya kikundi

  1. Nenda kwenye WhatsApp Mipangilio:
    • Android: Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Akaunti > Faragha > Vikundi.
    • iPhone: Gusa Mipangilio > Akaunti > Faragha > Vikundi.
    • KaiOS: Bonyeza Chaguo > Mipangilio > Akaunti > Faragha > Vikundi.
  2. Chagua mojawapo ya zifuatazo:
    • Kila mtu: Kila mtu, wakiwemo wasio kwenye kitabu cha anwani cha simu yako, wanaweza kukuongeza kwenye vikundi bila idhini yako.
    • Waasiliani Wangu: Walio kwenye kitabu chako cha anwani pekee ndio wanaweza kukuongeza kwenye vikundi bila idhini yako. Msimamizi wa kikundi ambaye hayupo kwenye kitabu chako cha anwani akijaribu kukuongeza kwenye kikundi, atapata arifa ibukizi itakayomwambia hawezi kukuongeza na itamuuliza aguse Alika kwenye Kikundi au abonyeze Endelea, ikifuatiwa na kitufe cha kutuma, ili atume mwaliko wa kikundi kupitia soga ya binafsi. Utakuwa na siku tatu za kukubali mwaliko kabla ya muda wake kuisha.
    • Waasiliani Wangu Isipokuwa...: Walio kwenye kitabu chako cha anwani pekee, isipokuwa wale unaowatenga, wanaweza kukuongeza kwenye vikundi bila idhini yako. Baada ya kuchagua Waasiliani Wangu Isipokuwa... unaweza kutafuta au kuchagua waasiliani wa kuwatenga. Msimamizi wa kikundi ambaye hujamjumuisha akijaribu kukuongeza kwenye kikundi, atapata arifa itakayomwambia hawezi kukuongeza na itamuuliza aguse Alika kwenye Kikundi ikifuatiwa na kitufe cha tuma, ili akutumie mwaliko wa kujiunga na kikundi kupitia soga ya binafsi. Utakuwa na siku tatu za kukubali mwaliko kabla ya muda wake kuisha.
  3. Ukidokezewa, gusa NIMEMALIZA au bonyeza SAWA.

Rasilimali zinazohusiana:

Jinsi ya kuzuia na kuruhusu waasiliani: Android | iPhone | KaiOS

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti