Simu za dharura za kuzuia kujiua hutoa msaada kwa wanaohitaji. Wasiliana kwa simu ya dharura ikiwa unahitaji msaada au unahitaji usaidizi wa kumsaidia rafiki. Ikiwa una wasiwasi kuhusu rafiki, tafadhali mhimize mtu huyo awasiliane na simu ya dharura pia.
Msaada wa Kitaifa wa Kuzuia Kujiua
http://www.suicidepreventionlifeline.org
Simu: 1 800 273 TALK (8255)
Soga ya Msaada wa Mgogoro
http://www.suicidepreventionlifeline.org/gethelp/lifelinechat.aspx
Simu ya Msaada wa Mgogoro wa Wapiganaji wa vita/Wanajeshi (kwa wanachama wa wanajeshi wa U.S., wapiganaji wa vita, na familia)
http://www.veteranscrisisline.net
Simu: 1 800 273 8255, Bonyeza 1
SMS: 838255
Mradi wa Trevor (wa vijana shoga LGBT, marafiki na familia)
http://www.thetrevorproject.org
Simu: 1 866 488 73865
Befrienders
http://www.befrienders.org
Msaada wa simu Australia
http://www.lifeline.org.au
Simu: 13 11 14
Simu ya Usaidizi kwa Watoto
http://www.kidshelp.com.au
Simu: 1800 55 1800
Headspace
http://www.eheadspace.org.au
Simu: 1800 650 890
Rat auf Draht
http://rataufdraht.orf.at
Simu: 147
TelefonSeelsorge – Notruf 142
http://www.telefonseelsorge.at
Simu: 142 (24 Stunden täglich)
Barua pepe: https://onlineberatung-telefonseelsorge.at (soga & barua)
Centrum Ter Preventie Van Zelfdoding
http://www.zelfmoord1813.be
Simu: 1813
CVV
http://www.cvv.org.br
Simu: 188
Barua pepe: atendimento@cvv.org.br
Simu ya Msaada kwa Watoto (kwa vijana chini ya umri wa miaka 20)
Simu: 1 800 6686868
Kwa watu walio zaidi ya umri wa miaka 20, tafuta kituo cha mgogoro kinachotimikia eneo lako:
http://suicideprevention.ca/thinking-aboutsuicide/find-a-crisis-centre
Linka bezpečí
www.linkabezpeci.cz
Simu: 116 111
Pražská linka důvěry
http://www.csspraha.cz/linka-duvery
Simu: 222 580 697
Linka důvěry Ostrava
http://www.mnof.cz/linka_duvery
Simu: 596 618 908
Simu: 737 267 939
Linka duševní tísně Most
http://www.mostknadeji.eu/linka-dusevni-tisne
Simu: 476 701 444
Skype: ldt.most
Linka důvěry DKC
http://dkc.cz/linka_duvery.php
Simu: 241 484 149
Skype: ld_dkc
Linka bezpečí
http://www.linkabezpeci.cz
Simu: 116111 (děti a mládež)
Livslinien
http://www.livslinien.dk
Simu: 70 201 201
Børne
https://bornetelefonen.dk/ring
Simu: 116 111 (Msaada wa simu kwa watoto inafunguliwa kila siku kutoka saa tano asubuhi hadi saa tano usiku 11:00-23:00.)
Suomen Mielenterveysseura
http://www.e-mielenterveys.fi/en/
Simu: 01019 5202
S.O.S Amitié
http://www.sos-amitie.org
Simu: 01 42 96 26 26
Telefonseelsorge
http://www.telefonseelsorge.de
Simu: 0800 111 0 111
Simu: 0800 111 0 222
Nummer gegen Kummer
https://www.nummergegenkummer.de
Simu: 0800 111 0 550 (watu wazima)
Simu: 0800 111 0 333 (watoto)
Klimaka NGO
http://www.klimaka.org.gr
Msaada wa Kuzuia Kujiua Ugiriki
http://www.suicide-help.gr
Simu: 1018
Samaritan Befrienders Hong Kong
http://www.help4suicide.com.hk
Samaritan Befrienders Hong Kong
http://www.sbhk.org.hk
Simu: 2389 2222
Samaritans Hong Kong
http://www.samaritans.org.hk
Simu: 2896 0000
Magyar Lelki Elsősegély Telefonszolgálatok Szövetsége
http://www.sos505.hu
Simu: 116 123
Barua pepe: sos@sos505.hu
Kek Vonal
Simu: 116-111
AASRA
http://www.aasra.info
Simu: 91-22-27546669
Simu: 91-22-27546667
Barua pepe: aasrahelpline@yahoo.com
ERAN
http://www.eran.org.il
Simu: Ni bure kupiga ukiwa Izraeli: 1201
Simu: Nje ya Izraeli: 972-76-8844400
SAHAR (Simu ya soga ya usaidizi wa hisia)(Kiyahudi)
http://www.sahar.org.il
SAHAR (Simu ya soga ya usaidizi wa hisia)(Kiarabu)
http://www.sahar.org.il/?categoryId=63068
Telefono Azzurro
www.azzurro.it
Simu: 19696
Telefono Amico
http://www.telefonoamico.it
Simu: 199 284 284
Skalbes
http://www.skalbes.lv
Simu: 371 67222922
Simu: 371 27722292
Simu ya Shirika la Lithuania la Usaidizi wa Hisia
http://www.klausau.lt
Vaikų linija (Msaada wa simu kwa watoto)
http://www.vaikulinija.lt
Simu: 116 111
Jaunimo linija (Simu ya msaada kwa vijana)
http://www.jaunimolinija.lt/laiskai/
Simu: 8 800 28888
Vilties linija (Simu ya tumaini)
http://www.kpsc.lt/vilties_linija.html
Simu: 116 123
Barua pepe: vilties.linija@gmail.com
Pagalbos moterims linija (Simu ya msaada kwa Wanawake)
http://www.moteriai.lt
Simu: 8 800 66366
Barua pepe: pagalba@moteriai.lt
Linija Doverija (Msaada kwa wateja wanaozungumza Kirusi)
Simu: 8 800 77277
SOS Détresse – Hëllef iwwer Telefon
http://www.454545.lu
Simu: 454545
Kanner-Jugendtelefon
http://www.kjt.lu
Simu: 116 111
Consejo Ciudadano
http://consejociudadanomx.org
Simu: 55 5533-5533
Instituto Hispanoamericano de Suicidologia, A.C
Simu: +5255 46313300
Barua pepe: info@suicidiologia.com.mx
Foundation 113Online
http://www.113online.nl
Simu: 0900-113 0 113
Mpango wa Kitaifa wa Unyogovu
http://www.depression.org.nz
The Lowdown
http://www.thelowdown.co.nz
Simu: 0800 111 757
SMS: 5626
Barua pepe: team@thelowdown.co.nz
Simu ya msaada kwa vijana http://www.youthline.co.nz
Simu: 0800 376633
SMS: 234
Barua pepe: talk@youthline.co.nz
Barua pepe: parenttalk@youthline.co.nz
Kirkens SOS
http://www.kirkens-sos.no
Simu: 815 33 300
Fundacja Dzieci Niczyje
http://www.116111.pl/napisz
Simu: 116 111
Centar Srce
http://www.centarsrce.org
Simu: 0800 300 303
Barua pepe: vanja@centarsrce.org
Samaritans wa Singapore (SOS)
http://samaritans.org.sg
Simu: 1800 221 4444
Barua pepe: pat@samaritans.org.sg
Kikundi cha Unyogovu na Wasiwasi cha Afrika Kusini (SADAG)
http://www.sadag.org
Simu: 0800 567 567
SMS: 31393
Kituo cha Korea cha Kuzuia Kujiua
www.spckorea.or.kr
Simu: +82 2-2203-0053
Barua pepe: spc@spckorea.or.kr
HopeClick
http://www.hopeclick.or.kr
Wizara ya Afya na Kituo cha Simu cha Ustawi na Huduma
Simu: 129 (Simu ya dharura ya masaa 24)
Kituo cha Ushauri wa Afya ya Akili na Mgogoro
Simu: 1577-0199 (Simu ya dharura ya masaa 24)
Teléfono de la Esperanza
http://telefonodelaesperanza.org
Simu: 902500002
Mind
https://mind.se/
Simu 143 - La Main Tendue – Die Dargebotene Hand – Telefono Amico
http://www.143.ch
Simu: 143
Kituo cha Taiwani cha Kuzuia Kujiua
http://www.tspc.tw
Simu: 0800 788 995
Barua pepe: tspc-fb@tsos.org.tw
Samaritans
http://www.samaritans.org
Simu: 116 123
Barua pepe: jo@samaritans.org