Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla

Kupokea msimbo wa uthibitisho bila kuuomba

Ili kulinda akaunti yako, WhatsApp itakutumia taarifa ya kusukuma wakati mtu anapojaribu kusajili akaunti ya WhatsApp kwa nambari yako ya simu. Ili kuweka akaunti yako salama, usishirikishe msimbo wako wa uthibitisho na wengine.

Unapopokea taarifa hii, inamaanisha kwamba mtu ameingiza nambari yako ya simu na kuomba msimbo wa usajili. Hii mara nyingi hutokea ikiwa mtumiaji mwingine anaingiza nambari yako kwa makosa wakati akijaribu kuingiza nambari yake mwenyewe kujisajili, na inaweza pia kutokea wakati mtu anajaribu kuchukua akaunti yako.

Usishirikishe msimbo wako wa uthibitisho wa WhatsApp na wengine. Ikiwa mtu anajaribu kuchukua akaunti yako, anahitaji msimbo wa uthibitisho uliotumwa kwa SMS kwa nambari yako ya simu ili kufanya hivyo. Bila msimbo huu, mtumiaji yeyote akijaribu kuthibitisha nambari yako hawezi kukamilisha mchakato wa uthibitisho na kutumia nambari yako ya simu kwenye WhatsApp. Hii inamaanisha kuwa umebaki na udhibiti wa akaunti yako ya WhatsApp.

Kumbuka
  • WhatsApp haina maelezo ya kutosha ya kumtambua mtu anayejaribu kuthibitisha akaunti yako ya WhatsApp.
  • WhatsApp imefumbwa mwisho hadi mwisho na ujumbe unahifadhiwa kwenye kifaa chako, kwa hivyo mtu ambaye anatumia akaunti yako kwenye kifaa kingine hawezi kusoma mazungumzo ya zamani.

Rasilimali

  • Kama ukipoteza ufikiaji wa akaunti yako ya WhatsApp au unashuku kuwa mtu mwingine anatumia akaunti yako, rejea makala ya Akaunti zilizoibiwa.
  • Kama simu yako imepotea au kuibiwa, angalia makala ya Simu zilizopotea na zilizoibiwa.
  • Wezesha uhakiki wa hatua mbili ili kuboresha usalama wa akaunti yako. Angalia makala ya Kuhusu uhakiki wa hatua mbili.
  • Kwa vidokezo zaidi vya usalama wa akaunti soma makala ya Vidokezo vya usalama wa akaunti.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti