Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Upakuaji na Usakinishaji

Kuhusu mifumo ya uendeshaji inayotumika

Kwa sasa, mfumo wetu unaweza kutumia na tunapendekeza utumiaji wa vifaa vifuatavyo:

  • Android inayotumia mfumo wa uendeshaji wa OS 4.1 au mipya zaidi
  • iPhone inayotumia iOS 12 na mapya zaidi
  • KaiOS 2.5.0 na matoleo mapya zaidi, ikiwa ni pamoja na JioPhone na JioPhone 2

Mara tu ukiwa na mojawapo ya vifaa hivi, sakinisha WhatsApp kisha usajili namba yako ya simu.

Kumbuka:
  • WhatsApp inaweza tu kutumiwa kwenye namba moja ya simu katika simu moja kwa wakati mmoja.

  • Simu yako lazima iweze kupokea SMS au simu wakati wa mchakato wa uthibitisho. Haturuhusu uanzishaji wa akaunti mpya kwenye vifaa vinavyotumia WiFi pekee.

Jinsi tunavyochagua mifumo ya kutumia

Vifaa na programu hubadilika mara nyingi, kwa hivyo huwa tunakagua ni mifumo gani ya uendeshaji tunayoweza kutumia na kufanya masasisho.

Ili kuchagua ni wapi hatutaendelea kutumika, kila mwaka, sawa na kampuni nyingine za teknolojia, huwa tunaangalia ni vifaa na programu zipi za zamani zaidi na zina idadi ndogo zaidi ya watu ambao bado wanazitumia. Vifaa hivyo pia huenda visiwe na masasisho ya hivi karibuni ya usalama au huenda havina utendaji unaohitajika ili kuendesha WhatsApp.

Kitakachotokea ikiwa mfumo wako wa uendeshaji hautumiki tena

Kabla hatujaacha kutumia mfumo wako wa uendeshaji, utaarifiwa moja kwa moja kwenye WhatsApp mapema na kukumbushwa mara kadhaa ili uboreshe.

Tutasasisha ukurasa huu mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa tumeorodhesha mifumo ya hivi karibuni ya uendeshaji tunayotumia.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Kuhusu vifaa vya Android vinavyoweza kutumika
  • Kuhusu iPhone zinazoweza kutumika
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti