Mfumo wetu unaweza kutumia, na tunapendekeza utumiaji wa vifaa vifuatavyo:
Mara tu unapokuwa na mojawapo ya vifaa hivi, sakinisha WhatsApp kisha usajili nambari yako ya simu. WhatsApp inaweza tu kuwezeshwa na nambari moja ya simu kwenye kifaa kimoja kwa wakati mmoja.
Zaidi ya hayo, hakuna hiari ya kuhamisha historia yako ya soga kati ya majukwaa. Hata hivyo, tunatoa hiari ya kusafirisha historia ya soga kama kiambatisho cha barua pepe.
Tafadhali kumbuka kwamba haiwezekani kuhamisha soga nchini Ujerumani.