Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaWaasiliani

Maelezo ya mwasiliani hayaonekani

Mipangilio ya faragha inakuruhusu kuficha mara ya mwisho kuonwa kwako, picha ya jalada, kuhusu, hali, au taarifa za kusomwa. Unaweza usione maelezo ya mtu mwingine kwa sababu ya vile walivyoweka mipangilio yao ya faragha.

Ikiwa huoni mara ya mwisho kuonwa ya mtu mwingine, picha ya jalada, kuhusu, hali, au taarifa za kusomwa za mtu mwingine, inaweza kuwa kwa sababu moja ya yafuatayo:

  • Mwasiliani wako amebadilisha mipangilio yake ya faragha kuwa Hakuna mtu.
  • Umebadilisha mipangilio yako ya faragha ya mwisho kaonwa kuwa Hakuna mtu.
  • Mwasiliani wako amebadilisha mipangilio yao ya faragha kuwa Waasiliani Wangu , na haujahifadhiwa kama mwasiliani kwenye simu yao.
  • Umezuiwa na mwasiliani.
  • Kunaweza kuwa na tatizo la muunganisho.
  • Mwasiliani wako hajaweka picha ya jalada.
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti