Unaweza kutumia kipengele cha kujibu unapojibu ujumbe fulani kwa mtu binafsi au soga za kikundi.
Gusa na shikilia ujumbe, halafu gusa Jibu
Kujibu kibinafsi kwa mtu aliye kutumia ujumbe kwenye kikundi, gusa na shikilia ujumbe, kisha gusa Hiari Zaidi
Gusa na shikilia ujumbe, halafu gusa Jibu. Ingiza jibu lako na gusa Tuma
Kujibu kibinafsi kwa mtu aliye kutumia ujumbe kwenye kikundi, gusa na shikilia ujumbe, kisha gusa Zaidi > Jibu Kibinafsi.
Vinjari juu ya ujumbe, halafu bofya Menyu
Kujibu kibinafsi kwa mtu aliye kutumia ujumbe kwenye kikundi, vinjari juu ya ujumbe, halafu bofya ujumbe, kisha bofya Menyu
Kumbuka: Ukitaka sitisha jibu kabla ya kutuma, gusa au bofya ikoni ya “x” karibu na ujumbe.