Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Soga

Jinsi ya kutuma ujumbe kwa biashara kwenye WhatsApp kutoka kwenye Duka lao la Facebook

Kumbuka: Huenda bado usiweze kutumia kipengele hiki.

Unapotembelea Duka la Facebook la biashara, unaweza kutumia kitufe cha Ujumbe kuanzisha mazungumzo na biashara kuhusu bidhaa unayoangalia.

Tuma ujumbe wa WhatsApp Business kutoka kwa Duka lao la Facebook

  1. Kutoka kwa ukurasa wa bidhaa kwenye duka, gusa Ujumbe. WhatsApp itafungua na kuanzisha soga na akaunti ya WhatsApp Business ya duka.
  2. Ili kukusaidia kuanzisha mazungumzo, kiolezo cha ujumbe kitaonekana kwenye uga wa matini. Kiolezo hiki kinaweza kuhaririwa kusema chochote utakachopenda. Kiungo chako kwa ukurasa wa bidhaa uliokuwa ukitazama kwenye duka kitaambatanishwa pia kwenye ujumbe wako.
  3. Gusa au .

Ili uone ukurasa wa bidhaa au duka moja kwa moja kwenye WhatsApp, gusa kiungo kilichoambatishwa kwenye ujumbe uliotumia biashara. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kushiriki na kuangalia viungo vya kurasa za bidhaa za duka kwenye WhatsApp katika makala haya.

Kumbuka: Hatua hizi zina husu tu kwa Maduka ambayo yamechagua WhatsApp kama njia yao ya msingi ya mawasiliano.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti