Ili kumtaja mtu katika ujumbe ulionaye kwenye kikundi, andika alama ya "@" na uchague jina la mwasiliani. Unapomtaja mtu, taarifa itatumwa kwa mwasiliani huyo, ikimuonyesha kuwa alitajwa.
Kumbuka: Kumtaja mtu katika kikundi itafuta arifa zilizotulizwa ambazo mwasiliani ameweka kwa kikundi, isipokuwa kama wametuliza soga za kibinafsi.
Ikiwa uko mbali na kikundi, unaweza kupata kwa haraka jumbe ulizotajwa au ukijibu kwa kugusa funguo la "@" linaloonekana kwenye kona ya chini ya kikundi.