Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaSoga

Jinsi ya kuunda jumbe zako

WhatsApp inaruhusu kuumba maandishi kwenye jumbe zako. Tafadhali zingatia, hamna hiari ya kuzima kipengele hiki.

Italiki

Kuweka italiki kwenye ujumbe wako, weka mstari pande zote mbili za maandishi:

_maandishi_

Herufi nzito

Kuweka herufi nzito kwenye ujumbe wako, weka nyota pande zote mbili wa maandishi:

*maandishi*

Mkato ulalo

Kuweka mkato ulalo kwenye ujumbe wako, weka kiwimbi pande zote mbili za maandishi:

~maandishi~

Nafasi moja

Kuweka nafasi moja kwenye ujumbe wako, weka alama tatu za kunukuu pande zote mbili za maandishi:

```maandishi```

Kumbuka:

Mbadala, unaweza kutumia njia mkato kwenye Android na iPhone.

  • Android: Gusa na shikilia maandishi unayo ingiza kwenye sehemu ya maandishi, kisha chagua Herufi nzito *, *Italiki *, au *Zaidi. Gusa Zaidi kuchagua Mkato ulalo au Nafasi moja.

  • iPhone: Gusa maandishi unayo ingiza kwenye sehemu ya maandishi > Chagua au Chagua Yote > B_I_U. Kisha, chagua Herufi nzito, Italiki, Mkato ulalo, au Nafasi moja.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti