Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Soga

Jinsi ya kutafuta kwenye intaneti ujumbe wa WhatsApp uliosambazwa

Ukipokea ujumbe ambao umesambazwa kutoka kwa mtumiaji mmoja hadi kwa mwingine mara nyingi, unaweza kuanzisha utafutaji kwenye intaneti kutoka katika soga ya WhatsApp ili upate taarifa inayohusiana na yaliyo kwenye ujumbe. Ujumbe kama huo huashiriwa kwa aikoni ya vishale viwili . Kipengele hiki kinapatikana kwa watumiaji nchini Ajentina, Brazili, Chile, Kolombia, Jamhuri ya Dominika, Ufaransa, Ujerumani, Ayalandi, Italia, Meksiko, Naijeria, Peruu, Uhispania, Uingereza, Marekani na Venezuela.

Kumbuka: Ukichagua kutafuta maudhui ya ujumbe kwenye wavuti, kipengele hiki kitakuruhusu kupakia maudhui ya ujumbe moja kwa moja kwenye Google bila ya kuyashiriki na WhatsApp. Masharti ya Google ya Huduma na Sera ya Faragha yatatumika.

  1. Gusa Tafuta karibu na ujumbe uliosambazwa.
  2. Gusa Tafuta kwenye Wavuti.
  3. Utafutaji utakuelekeza kwenye kivinjari cha wavuti ambapo matokeo yako yataonyeshwa kwenye Google.

Rasilimali Zinazohusiana:

Kuhusu kikomo cha kusambaza

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti