Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Soga

Kuhusu "mwisho kaonwa" na "mtandaoni"

Mwisho kaonwa na mtandaoni hukuambia muda wa mwisho ambapo watu unaowasiliana nao walitumia WhatsApp, au ikiwa wapo mtandaoni.

Ukiona mtu unayewasiliana naye yupo mtandaoni, basi amefungua WhatsApp kwenye kifaa chake na ameunganishwa kwenye intaneti. Hata hivyo, haimaanishi kuwa mtumiaji amesoma ujumbe wako.

Mwisho kaonwa hurejelea muda wa mwisho ambapo mtu unayewasiliana naye alitumia WhatsApp. Kupitia mipangilio yetu ya faragha, una chaguo la kudhibiti nani anaweza kuona mara ya mwisho ulipoonekana. Huenda usiweze kuona hali ya kuwa mtandaoni kwa mtu isipokuwa kama amekuhifadhi katika anwani zake au alikutumia ujumbe hapo awali. Tafadhali kumbuka huwezi kudhibiti ni nani anaweza kuona hali yako ya kuwa mtandaoni katika mipangilio.

Kuna sababu kadhaa zinazoweza kufanya usione maelezo ya mwisho kuonwa kwa mtu unayewasiliana naye:

  • Anaweza kuwa ameweka mipangilio yake ya faragha ili kuficha maelezo haya.
  • Inawezekana umeweka mipangilio yako ya faragha ili usishirikishe mwisho wa kuonwa. Ikiwa hushirikishi mwisho wa kuonwa kwako, hutaweza kuona mwisho wa kuonwa kwa watu wengine unaowasiliana nao.
  • Unaweza kuwa umezuiwa.

Rasilimali zinazohusiana:

Kuhusu mipangilio ya faragha: Android | iPhone

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti