Unaweza kusambaza ujumbe kwa hadi soga tano kwa wakati mmoja.
Hata hivyo, ujumbe ukisambazwa kwa mfululizo wa soga tano au zaidi, yaani ukiwa umesambazwa angalau mara tano tangu mtumaji wa kwanza, aikoni ya vishale viwili
Ujumbe unaosamazwa huwa na mfumo wa kuhesabu unaofuatilia ni mara ngapi ujumbe umesambazwa. Kwa faragha yako, WhatsApp haijui ni mara ngapi ujumbe umesambazwa na haiwezi kuona maudhui ya ujumbe wako wowote katika soga zinazolindwa kwa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho. Pata maelezo zaidi kuhusu ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye makala haya.
Jinsi ya kusambaza ujumbe kwenye: Android | iPhone | Web na Desktop | KaiOS