Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Soga

Kuhusu ujumbe unaotoweka

Ujumbe unaotoweka ni kipengele cha hiari ambacho unaweza kukiwasha kwa ajili ya faragha zaidi.

Unapowasha ujumbe unaotoweka, unaweza kuweka ujumbe utoweke baada ya saa 24, siku 7 au siku 90 baada ya muda ulipotumwa. Uteuzi wa hivi karibuni unadhibiti tu ujumbe mpya kwenye soga. Mipangilio hii haitaathiri ujumbe wa awali ulioutumwa au kupokelewa kwenye soga. Katika soga ya binafsi, wewe au mwenzio mnaweza kuwasha au kuzima hali ya ujumbe unaotoweka. Kwenye soga ya kikundi, washiriki wowote wa kikundi wanaweza kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka. Hata hivyo, msimamizi wa kikundi anaweza kubadili mipangilio ya kikundi ili kuruhusu wasimamizi pekee kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka.

  • Mtumiaji asipofungua WhatsApp ndani ya saa 24, siku 7 au siku 90, ujumbe utatoweka kwenye soga. Hata hivyo, onyesho tangulizi la ujumbe bado linaweza kuonekana kwenye taarifa mpaka WhatsApp itakapofunguliwa.
  • Unapojibu ujumbe, ujumbe wa awali unanukuliwa. Ukijibu ujumbe unaotoweka, ujumbe ulionukuliwa unaweza kubakia kwenye soga baada ya muda uliochagua.
  • Ujumbe unaotoweka ukisambazwa kwenye soga isiyo na ujumbe unaotoweka, ujumbe hautatoweka kwenye soga iliyosambazwa.
  • Mtumiaji akihifadhi nakala ya soga kabla ya ujumbe kutoweka, ujumbe unaotoweka utajumuishwa kwenye nakala rudufu. Ujumbe unaotoweka utafutwa mtumiaji atakaporejesha kutoka kwenye nakala rudufu.

Kumbuka: Tumia ujumbe unaotoweka na watu wanaoaminika tu. Kwa mfano, inawezekana kwa mtu fulani:

  • Kusambaza au kupiga picha ya skrini ya ujumbe unaotoweka na kuuhifadhi kabla haujatoweka.
  • Kunakili na kuhifadhi maudhui kutoka kwenye ujumbe unaotoweka kabla haujatoweka.
  • Kupiga picha ujumbe unaotoweka kwa kamera au vifaa vingine kabla haujatoweka.

Ujumbe unaotoweka kwa akaunti yako

Unaweza kuwasha ujumbe unaotoweka kwa chaguomsingi katika soga zote mpya binafsi.

  • iPhone na Android: Nenda kwenye Mipangilio ya WhatsApp > gusa Akaunti > Faragha > Muda chaguomsingi wa ujumbe kisha uchague kipindi.

Maudhui katika ujumbe unaotoweka

Kwa kawaida, maudhui yanayopakuliwa kwenye WhatsApp yatapakuliwa kiotomatiki kwenye picha zako. Kama umewasha hali ya ujumbe unaotoweka, maudhui yanayotumwa kwenye soga yatatoweka, lakini yatahifadhiwa kwenye simu kama umewasha hali ya kupakua kiotomatiki. Unaweza kuzima pakua kiotomatiki kwenye WhatsApp Mipangilio > Hifadhi na Data.

Rasilimali zinazohusiana:

  • Jinsi ya kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka: Android | iPhone | KaiOS | Web na Desktop
  • Jinsi ya kuwasha au kuzima ujumbe unaotoweka kwenye kikundi: Android | iPhone | KaiOS | Web na Desktop
  • Jinsi ya kubadilisha mipangilio ya usimamizi wa kikundi: Android | iPhone | KaiOS | Web na Desktop
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti