Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaSoga

Kuhusu kupiga soga na biashara

Ni rahisi kutofautisha kati ya akaunti ya kibinafsi na akaunti ya biashara kwenye WhatsApp. Kwenye soga, gusa jina la mwasiliani ili kuona jalada lake. Ikiwa ni biashara, jalada lake litakuwa na mojawapo ya lebo zifuatazo:

  • Akaunti rasmi ya biashara: WhatsApp imeamua kuwa chapa inayojulikana na halisi inamiliki akaunti hii. "Akaunti rasmi ya biashara" ina beji ya alama hakikishi ya kijani kwenye jalada lake na kando ya kichwa kwenye mtungo wa soga. Jina la biashara hiyo linaonekana hata ikiwa haujaongeza biashara hiyo kwenye kitabu chako cha anwani.
  • Akaunti ya biashara: Hii ni hali ya chaguo-msingi kwa biashara ambayo inaunda akaunti kwenye mojawapo ya bidhaa za WhatsApp Business.

Dokezo: "Akaunti rasmi ya biashara" haionyeshi kuwa WhatsApp inaidhinisha biashara hii.

Rasilimali zinazohusiana

  • Pakua programu ya WhatsApp Business kwenye Android | iPhone
  • Kuhusu kukubali kushiriki kwenye soga za biashara
  • Jinsi ya kuzuia au kuruhusu biashara: Android | iPhone
  • Jinsi ya kuzuia na kuruhusu waasiliani: Android | iPhone | KaiOS
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti