WhatsApp Business ni programu ambayo ni bure kupakuliwa, inayopatikana kwenye Android na iPhone, iliundwa kwa kumfikiria mmiliki wa biashara ndogo. WhatsApp Business hufanya ushirikiano na wateja rahisi kwa kutoa zana za kiotomatiki za kutatua na kujibu jumbe haraka. Pia inalenga kuwa kama na kufanya kazi kama WhatsApp Messenger. Unaweza kuitumia kufanya kila kitu ulichozoea kufanya, kutoka kwa kutuma jumbe mpaka kutuma picha.
Baadhi ya vipengele ambavyo tunatoa sasa katika programu ni pamoja na:
Unaweza kujifunza jinsi ya kupakua kutoka kwenye Duka la Google Play na Duka la Programu.
Ikiwa haupo kwenye biashara, hakuna haja ya kupakua programu hii tofauti. Unaweza kuendelea kutumia akaunti yako ya WhatsApp Messenger kwa bure ili kuzungumza na marafiki, familia na biashara.