Kituo cha Msaada
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Kituo cha Msaada
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaAkaunti na Jalada

Simu zilizopotea na zilizoibiwa

Kwa bahari mbaya simu yako ikipotea au kuibiwa, tunaweza kusaidia kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayeweza kutumia akaunti yako ya WhatsApp.

Cha kufanya

  1. Funga kadi yako ya SIM. Unapaswa kumpigia simu mtoa huduma wako wa simu haraka iwezekanavyo kufunga kadi yako ya SIM. Haitawezekana kuthibitisha akaunti kwenye simu hiyo tena, kwa kuwa lazima uweze kupokea SMS au simu ili uhakikishe akaunti.

  2. Kwa sasa, una hiari mbili:

    • Tumia kadi mpya ya SIM na namba ileile ili kuwezesha WhatsApp kwenye simu yako mpya. Hii ndiyo njia ya haraka ya kuzima akaunti yako kwenye simu iliyoibiwa. Kumbuka ya kwamba WhatsApp inaweza kuwezeshwa na namba moja ya simu kwenye kifaa kimoja kwa wakati mmoja tu.

    • Tutumie barua pepe maneno "Potea/Ibiwa: Tafadhali zima akaunti yangu"kwenye mwili wa barua pepe na weka namba yako ya simu kwa muundo wa kimataifa kamilifu ilivyoelezwa hapa.

Kumbuka:

  • Hata pamoja na kadi ya SIM kufungwa na huduma ya simu imelemazwa, WhatsApp inaweza kutumika kwenye Wi-Fi ikiwa hutawasiliana nasi na ombi la kuzima akaunti.
  • Tumeshindwa kukusaidia kupata simu yako. Haiwezekani kuzima WhatsApp kwa mbali kutoka kwa kifaa kingine.
  • Ikiwa umeunda chelezo kwa kutumia Google Drive, iCloud au OneDrive kabla ya simu yako kupotea, unaweza kurejesha historia yako ya soga. Jifunze jinsi ya kurejesha jumbe kwenye: Android | iPhone.

Ni nini kinachotokea wakati akaunti imezimwa

  • Akaunti haijafutwa kabisa.
  • Waasiliani wako bado wanaweza kuona jalada yako.
  • Waasiliani wako wanaweza kutuma jumbe, ambazo zitabaki katika hali ya kusubiri hadi siku 30.
  • Ukiwezesha akaunti yako kabla ya kufutwa, utapokea jumbe zozote zilizotumiwa kwenye simu yako mpya na utakuwa bado katika soga zako zote za kikundi.
  • Ikiwa hutawezesha akaunti yako ndani ya siku 30, itafutwa kabisa.
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Kituo cha Msaada
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti