Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kuangalia katalogi

Unaweza kuangalia bidhaa na huduma za biashara kwa urahisi kwenye katalogi ya biashara hiyo. Ikiwa biashara imeunda katalogi, itaonekana kwenye jalada lake la biashara.

Kuangalia katalogi ya biashara

  1. Fungua soga na biashara hiyo.
  2. Gusa jina la biashara ili uone jalada la biashara hiyo kwenye WhatsApp Business.
  3. Gusa ANGALIA ZOTE karibu na KATALOGI.

Au, kama biashara ina katalogi inayotumika, unaweza kugusa kitufe cha ununuzi ( kwenye Android au kwenye iPhone) katika soga kati yako na biashara ili ufikie katalogi ya biashara hiyo moja kwa moja.

Unaweza pia kuangalia katalogi ya biashara na kuishiriki na ndugu na marafiki katalogi yote au vitu maalumu kwa kuteua mojawapo ya machaguo haya:

  • Tuma kiungo kupitia WhatsApp: ili ushiriki kiungo cha bidhaa/katalogi ulizochagua na wengine kwenye WhatsApp
  • Nakili kiungo: ili unakili kiungo
  • Shiriki kiungo: ili ushiriki bidhaa/katalogi kwa njia ya barua pepe au programu nyingine za kutuma ujumbe

Rasilimali zinazohusiana

Jinsi ya kushiriki bidhaa au huduma kutoka kwenye katalogi: Android | iPhone | Web na Desktop

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti