Maswali Yanayoulizwa Sana
Chagua lugha yako
  • azərbaycan
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Melayu
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • Filipino
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिन्दी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
JumlaAkaunti na Jalada

Jinsi ya kuomba taarifa za akaunti yako

Kipengele cha ombi la maelezo ya akaunti yako kina kuruhusu kuwasilisha ombi la ripoti na kuhamisha ripoti ya maelezo ya akaunti yako ya WhatsApp na mipangilio. Ripoti haitakuwa na ujumbe wako. Kama unahitaji kufikia ujumbe wako kando ya kwenye programu, unaweza kuhamisha historia yako ya soga badala yake.

Tafadhali kumbuka, kipengele hiki hakipatikani kwenye WhatsApp Web na Desktop.

Omba ripoti

  1. Nenda kwa WhatsApp Mipangilio > Akaunti > Omba taarifa za akaunti.
  2. Gusa Omba ripoti. Skrini itajisasisha na kuonyesha Ombi limetumwa.

Kimsingi ripoti yako itapatikana siku tatu baada ya tarehe ulipoiomba. Unaweza kurejea tarehe ya Itakuwa tayari unaposubiri ripoti yako.

Dokezo:
  • Mara tu unapoomba ripoti, huwezi kutengua au batilisha ombi lako linalosubiriwa.

  • Kama ukibadilisha nambari yako ya simu au kufuta akaunti yako, ombi lako linalosubiriwa litabatilishwa na utahitaji kuomba ripoti nyingine.

Pakua na safirisha ripoti

Wakati ripoti itakapokuwa tayari kupakuliwa, utapokea arifa ya WhatsApp kwenye simu yako, ikisema “Ombi lako la arifa za akaunti sasa linapatikana”. Skrini ya Omba taarifa za akaunti kwenye WhatsApp itakuambia idadi ya muda ulionao kupakua ripoti kabla haijafutwa kutoka kwenye seva zetu. Kwa kuwa ripoti hii ina taarifa zako, kuwa makini kuhusu kuhifadhi, kutuma au kuipakia kwenye huduma zingine.

  1. Nenda kwa WhatsApp Mipangilio > Akaunti > Omba taarifa za akaunti.
  2. Gusa Pakua ripoti. Faili la ZIP litapakuliwa kwenye simu yako, pamoja na faili za HTML na JSOL.
  3. Mara faili linapopakuliwa, gusa Safirisha ripoti > SAFIRISHA au Safirisha ripoti. Hutaweza kutazama ripoti uliopakua ndani ya WhatsApp.
  4. Kwenye trei ya shiriki inayotokea, gusa programu ya nje unayotaka kusafirisha ripoti kwayo. Kwa mfano, unaweza kujitumia nakala ya ripoti kwa barua pepe.

Baada ya kupakua ripoti kwenye simu yako, utakuwa na chaguo la kufuta moja kwa moja nakala ulilopakua kutoka kwenye simu yako kwa kugusa Futa ripoti > FUTA au Futa ripoti kwenye skrini ya Omba taarifa ya akaunti. Kufuta riporti hakutafuta data yoyote ya akaunti yako ya WhatsApp.

Rasilimali zinazohusika:

  • Jinsi ya kuomba taarifa ya akaunti yako kwenye KaiOS
  • Jinsi ya kusafirisha historia yako ya soga kwenye: Android | iPhone
Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara
  • Faragha

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
  • Virusi vya Korona
2021 © WhatsApp LLC
Faragha na Masharti