Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Akaunti na Jalada

Jinsi ya kubadilisha lugha ya WhatsApp

WhatsApp inapatikana kwa zaidi ya lugha 40 kwenye iPhone na hadi 60 kwenye Android. WhatsApp hufuata lugha unayotumia kwenye simu yako. Kwa mfano, ukibadilisha lugha ya simu yako kuwa Kihispania, WhatsApp itakuwa katika Kihispania.

Kubadilisha lugha ya simu yako

  • Android: Nenda kwenye simu yako Mipangilio > Mfumo > Lugha na uingizaji data > Lugha. Gusa na ushikilie lugha ili usogeze juu, au gusa Ongeza lugha.

  • iPhone: Nenda kwenye Mipangilio > Jumla > Lugha na Eneo > Lugha ya iPhone. Chagua lugha, kisha gusa Badilisha kuwa {language}.

  • KaiOS: Bonyeza Mipangilio kwenye menyu ya programu > sogeza hadi kando ili kuchagua Kuweka mapendeleo > sogeza chini kisha bonyeza Lugha > bonyeza Lugha > chagua lugha unayotaka kutumia > bonyeza SAWA au CHAGUA.

Chaguo linalopatikana katika baadhi ya nchi

Ikiwa unatumia simu ya Android, unaweza kuwa na chaguo la kubadili lugha ya WhatsApp kutoka kwenye programu. Moja ya chaguo ni kuchagua lugha unayotaka kwenye skrini ya mwanzo ya Karibu. Au, ikiwa tayari unatumia WhatsApp:

  1. Fungua WhatsApp.
  2. Gusa Chaguo zaidi > Mipangilio > Lugha ya Programu.
  3. Chagua lugha unayotaka.

Ikiwa huoni machaguo haya, labda hayapatikani katika nchi yako.

Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti