Fanya kuwe rahisi kwa watu kugundua biashara yako. Wateja wako wa sasa na wapya wanaweza kukutumia ujumbe kwenye WhatsApp kwa kuchanganua msimbo wa QR wa akaunti yako ya biashara. Unaweza kugeuza ujumbe uliowekwa awali ili ikufae na msimbo wako wa kipekee wa QR hautaisha muda au kufuta akaunti yako ya WhatsApp Business.