Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsAppKituo cha Msaada
WHATSAPP WEB
VIPENGELE
PAKUA
USALAMA
KITUO CHA MSAADA

Chagua lugha yako

  • azərbaycan

  • Afrikaans

  • Bahasa Indonesia

  • Melayu

  • català

  • čeština

  • dansk

  • Deutsch

  • eesti

  • English

  • español

  • français

  • Gaeilge

  • hrvatski

  • italiano

  • Kiswahili

  • latviešu

  • lietuvių

  • magyar

  • Nederlands

  • norsk bokmål

  • o‘zbek

  • Filipino

  • polski

  • Português (Brasil)

  • Português (Portugal)

  • română

  • shqip

  • slovenčina

  • slovenščina

  • suomi

  • svenska

  • Tiếng Việt

  • Türkçe

  • Ελληνικά

  • български

  • қазақ тілі

  • македонски

  • русский

  • српски

  • українська

  • עברית

  • العربية

  • فارسی

  • اردو

  • বাংলা

  • हिन्दी

  • ગુજરાતી

  • ಕನ್ನಡ

  • मराठी

  • ਪੰਜਾਬੀ

  • தமிழ்

  • తెలుగు

  • മലയാളം

  • ไทย

  • 简体中文

  • 繁體中文(台灣)

  • 繁體中文(香港)

  • 日本語

  • 한국어

  • Pakua

  • Vipengele

  • Usalama

  • Kituo cha Msaada

  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
  1. Jumla
  2. Akaunti na Jalada

Kuhusu katalogi

Watumiaji wa programu ya WhatsApp Business wanaweza kuonyesha na kushiriki bidhaa na huduma zao kwa urahisi na wateja kwa kuunda katalogi. Katalogi huonyeshwa kwenye jalada la biashara.

Kila bidhaa au huduma kwenye katalogi ina kichwa cha kipekee pamoja na sehemu za hiari kujaza ambazo ni pamoja na bei, maelezo, kiungo cha tovuti na msimbo wa bidhaa. Vitambulisho hivi hufanya iwe rahisi kwa wateja kutambua bidhaa kwenye orodha. Wamiliki wa biashara wanaweza kupakia hadi bidhaa au huduma 500 kwenye katalogi zao.

Katalogi iliyosasishwa huwawezesha wateja wa sasa na wanaotarajiwa kutafuta bidhaa au huduma za biashara na kuwasiliana na biashara. Wateja wanaweza kuchagua bidhaa au huduma wanayovutiwa nayo na kuishiriki na marafiki zao au kutuma ujumbe kwa biashara kuuliza maswali.

Kushiriki katalogi kunaruhusu biashara ndogo kusambaza katalogi zao na kufikia wateja watarajiwa. Watumiaji wa WhatsApp Business wanaweza kutuma katalogi kamili kwa wateja ambao tayari wanaowasiliana nao. Wanaweza pia kushiriki kiungo chao cha katalogi mahali popote, kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa mengine, hivyo kuwezesha wateja wengi watarajiwa kugundua biashara zao na kutuma ujumbe kwao moja kwa moja kuhusu bidhaa na huduma zao.

Rasilimali zinazohusiana

  • Jinsi ya kuunda na kudumisha katalogi kwenye: Android | iPhone| Web na Desktop
  • Jinsi ya kuunda na kudhibiti mikusanyiko kwenye katalogi yako: Android | iPhone | Web na Desktop
  • Jinsi ya kushiriki bidhaa au huduma na wateja wako: Android | iPhone | Web na Desktop
  • Jinsi ya kuangalia katalogi
Makala haya yamekusaidia?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho si sahihi
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Kituo cha Msaada

WHATSAPP

Vipengele

Usalama

Pakua

WhatsApp Web

Biashara

Faragha

KAMPUNI

Kuhusu

Kazi

Kituo cha Bidhaa

Kuwa karibu

Blog

Hadithi za WhatsApp

PAKUA

Mac/PC

Android

iPhone

MSAADA

Kituo cha Msaada

Twitter

Facebook

Virusi vya Korona

2022 © WhatsApp LLC

Faragha na Masharti