WhatsApp inatambua kwa haraka na kwa urahisi ni nani kati ya waasiliani wako wanaotumia WhatsApp kwa kupitia kitabu cha anwani ya simu yako. Kufuta mwasiliani, lazima umfute mwasiliani kutoka kwenye kitabu cha anwani cha simu yako.
Kufuta mwasiliani:
Ikiwa hutaki mtu aweze kukutumia ujumbe kwenye WhatsApp, unaweza kumzuia mwasiliani huyo.