Maswali Yanayoulizwa Sana
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

Ni jinsi gani tunaweza kukusaidia?

Unaweza kuperuzi mada hapo chini ili kupata kile unachokitafuta.
Windows PhoneSoga

Kuumbiza jumbe zako kupangilia

WhatsApp inakuruhusu kuumbiza maandishi uliyochaguliwa kwenye jumbe zako.

Italiki

Kuweka italiki kwenye ujumbe, weka mstari pande zote mbili za maandishi, kama hivi:

maandishi

Herufi nzito

Kuweka herufi nzito kwenye ujumbe, weka nyota pande zote mbili wa maandishi, kama hivi:

*maandishi*

Mkato ulalo

Kuweka mkato ulalo kwenye ujumbe, weka kiwimbi pande zote mbili wa maandishi, kama hivi:

~maandishi~

Nafasi moja

Kuweka nafasi moja kwenye ujumbe, weka alama tatu za kunukuu pande zote mbili za maandishi, kama hivi:

```maandishi```

Mbadala:

  • Kwenye Android, unaweza kugusa na kushikilia maandishi unayoandika > Zaidi > na chagua kati ya herufi nzito, italiki, makato ulalo na nafasi moja.
  • Kwenye iPhone, unaweza kugusa na kushikilia maandishi unayoandika > BIU > na chagua kati ya herufi nzito, italiki na makato ulalo.

Kumbuka: Hamna hiari ya kuzima kipengele hiki.

Makala hii ilikufaidi?
NdiyoLa
Kwanini makala hii haikukufaidi?
  • Makala hii ilikuwa na mkanganyiko
  • Makala hii haikujibu swali langu
  • Suluhisho sio sawa
  • Sipendi kipengele au sera
Asante kwa maoni yako
Mwanzo wa Maswali Yanayoulizwa Sana

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti